KBC Radio Taifa ni idhaa ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Kenya inayotangaza habari, michezo, biashara, mijadala ya kitaifa, vipindi vya utamaduni na burudani kwa wasikilizaji wa Nairobi na maeneo mengine nchini.
On the air
KBC Radio Taifa 92.9 FM
Sauti ya Taifa kwa habari na burudani








